Sekretari anahitaji Dar

Sekretari anahitaji Dar

Mzalendo_Mwandamizi

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2007
Posts
1,116
Reaction score
4,773
Kama una sifa stahili basi wasiliana na mhusika kupitia baruapepe hiyo pichani

cee5171b3eb043e852ef6c7213d211b7.jpg
 
Siku nyingine umwambie/umshauri dada yako huyo, akitaka kuandika tangazo la kazi achague lugha rasmi itakayotumika katika tangazo lake kama ni English basi iwe English tu kama kiswahili basi atumie kiswahili tu.

Itakuwaje muombaji wa kazi na yeye akachanganya lugha katika maombi yake ya kazi kiswahili na kingereza humo humo.

Alafu umwambie ajipambanue vizuri, anaitwa nani, ofisi yake iko wapi, inajihusisha na nini, anuani yake ni ipi nk.
 
Kama una sifa stahili basi wasiliana na mhusika kupitia baruapepe hiyo pichani

cee5171b3eb043e852ef6c7213d211b7.jpg
Hallow, samahan, mimi nina cheti cha computer na nina uzoefu wa kaz ya usecretary ila naomba kujua kabla cjatuma cv yangu, je hiyo ni kampuni au hiyo ofisi inashughulika na nini?
 
Back
Top Bottom