Sekondari iliyotoa viongozi na watu mashuhuri wengi Tanzania

Sangu Second School
1.Rais Joseph Kabira wa DRC
2. Mohamed Dewij-MP- Singida
3.Kajura wa NMB
4.........

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

Hata mi nilisoma malangali, bweni lang lilikuwa mwaisela A nyuma yake kuna mti wa mavunja genge na posta. Ni mtu maarufu mjini hapa
 

kumbee ndio maana wengne wanasema jamaa ana damu ya kimasai
 
Tutaropoka shule nyingi sanaaaa! lakin ukwel ni kwamba MKWAWA ya iringa ndio kiboko ya shule zote tz!
 
Kaengesa seminary(st Joseph)..katoka kadinal Pengo, secret services-usalama wa taifa wengi wamepita hapo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…