JAJI MKUU Mstaafu Barnabas Samata. Marehem John Komba, Mabere Marando, Prof. Luoga wa sheria pale UDSM na wengneo. Mwandishi wa Vitabu vya UCHUMI kwa A-LEVEL nae ni mwl CHRISDOM AMBILIKILE.
Songea Boys' Sec. School, nickname Box-Two
Tabora Boys....
Nyerere, Sitta, Mungai, Kapuya, Warioba, Lipumba, Msekwa, Malecela, Samatta, Augustino Ramadhan, Nassari, na wengine weeeengi saana hata cz baraza lote la kwanza la mawaziri na mwenyekiti lilisoma shule ile..... Advocate J