Hawa jamaa wa TANROADS bure kabisa, hayo mahandaki ya sekense sijui wanasubiri nini kufukia. Halfu wakikaa hapo bungeni wanadanganya sana wananchi. Kwamfano kile kipande cha Mohoro hadi Somanga miaka nenda miaka rudi hakimaliziki.............bure kabisa!