Seif Sharifu na mpango mfu

Dec 22, 2017
51
18
Sefu sharifu hamadi mbona unatuchanganya!!
Mbona unatafuta suluhu na ccm au ndio mataifa walivyokuagiza?
 
Attachments

  • IMG-20171226-WA0000.jpg
    IMG-20171226-WA0000.jpg
    80 KB · Views: 69
Sio kweli, maalim seif hana mpango huo kabisa na kama atakuwa nao basi hatoweza kutumia watu hao kabisa katika kuyatafuta hayo mazungumzo.

Jengine ni kwamba hizo ndio mbinu za kumchafua maalim ili wananchi wanao unga mkono kwakwe wasimuamini, naamini kwamba maalim yupo imara na misimamo yake na maneno yake.
 
Hizo ni story za kitoto Ali Amer atakekuonana naye wa nini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom