Seif kama Lowassa tu!!

Mathayo Fungo

JF-Expert Member
Nov 13, 2018
319
510
Njaa jamani njaaa. . . :D:D:D
Maalim Seif ameua ndoto za Wazanzibari kwa kufuata nyayo za Edward Lowassa.
ACT Wazalendo kwao ni kama kulamba joker kwasababu ujio wake utaipanua taasisi hiyo kwa kuongeza wanachama ambao ni wafuasi wa Maalim Seif.
Wadau wanasema kwa upande wa Zanzibar, uchaguzi ujao utakuwa ni mteremko tuuuuuu.
Wadau wanasema kwa upande wa Tanzania bara, ACT itashika viti vingi kuliko vyama vingine vya upinzania (hii nina mashaka).
Wadau wanasema ACT wakikaa vibaya Maalim Seif anaweza kukitibua chama chao.
Raia wa Zanzibar wanasema "alipo tupoooo, alipo tupoooooo, alipo tupooooo".

zito.PNG
 
View attachment 1048273
Huwezi kumfananisha Lowassa na Seif , Lowassa ameusaliti Upinzani ameendekeza mali na utukufu ndio maana amerudi kule kule walikomvua nguo Maalimu seif ni shujaa kajiunga na Upinzani kuuimarisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom