Seif aonywa umwagaji damu.Hamadi Rashidi amtaka atoke hadharani. Asisitiza ADC itashiriki Uchaguzi

CCM huwa ni wajinga sana yaani wao wafanye ujinga wao, Seif ajitoe kwenye huo ujinga wao afu eti damu ikimwagika Seif ndo mhusika
 
Hamad anajulikana ni mnafiki hana mpya. Damu ikimwagika wa kulaumiwa ni Shein.
 
Ha ha ha ha haaa... CUF imetumia akili sana Ktk Hili, wamecheza MAJOKEL mawili kwa mpigo, ki vyovyote vile utaramba tu..!!
 
Ni kama Umoja wa Ulaya walivyomuonya Magufuli...kama mambo yakiharibika Zanzibar, wa kwanza kwenda the Hague ni huyu jamaa (Magufuli) akifuatiwa na Shein.
 
Ni kama Umoja wa Ulaya walivyomuonya Magufuli...kama mambo yakiharibika Zanzibar, wa kwanza kwenda the Hague ni huyu jamaa (Magufuli) akifuatiwa na Shein.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…