JIULIZE KWANZA JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 2,569 Reaction score 500 Nov 20, 2011 #1 Wana jamvi yule mtoto wa Gadhafi amekamatwa huko southern libya akijaribu kutoroka akiwa amechoka, kachafuka na mwenye njaa..watoto wa watawala mmejifunza nini? je gadhafi na familia yake laiti wangu ujua mwisho wao je wangeita nguvu ya umma panya? gonga hapa kwa details Seif al-Islam Gadhafi captured in southern Libya - Yahoo! News
Wana jamvi yule mtoto wa Gadhafi amekamatwa huko southern libya akijaribu kutoroka akiwa amechoka, kachafuka na mwenye njaa..watoto wa watawala mmejifunza nini? je gadhafi na familia yake laiti wangu ujua mwisho wao je wangeita nguvu ya umma panya? gonga hapa kwa details Seif al-Islam Gadhafi captured in southern Libya - Yahoo! News