Sangomwile
JF-Expert Member
- Aug 17, 2012
- 3,227
- 1,105
Unasubiria ndoa wakati mwenzako alishaonja mautamu toka darasa la tatu!
Dooh! Basi kuna jamaa huwa analia lia hilo jambo kuhusu wife wake ndio kusema atakoma. Ndio maana kujaribu muhimu ila ndo hivyo tena watu wanaweza kutangaza ndoa ili watest na kukimbia
Unasubiria ndoa wakati mwenzako alishaonja mautamu toka darasa la tatu!
kesi iyo ilisha tokea huko mbulu, mwanamke alikuwa na kasoro sehem zake za siri zilikuwa na tundu dogo tu, kifupi uke haukukamilika na mmewe alipeleka malala miko kanisan na ndoa ikatenguliwa,