Unahitaji vinywaji gani hapo zanzibar?Nipo hapa zanzibar town leo, nataka sehemu yenye vinwaji na wanaonesha mpira game za leo.
Wenyeji nisaidieni niende wapi please. Na hii mvua inayoendelea hotelini hata hakukaliki
Asante mwalimu. Nielekeze basi hizo sehemu. Muda ushaenda huuKwa Zanzibar sehemu ya kuangalia mpila utahangaika sana ila sehemu ya mpira utapata tu fasta. Na vinwaji ni vigumu sana kupatikana Zanzibar ila vinywaji vimejaa kila sehemu.... Kama umenielewa nashukuru
Kwa zanzibar town itakulazimu ujichimbie kwenye mahoteli tu, mana kila mtu ana cable kwake. kama upo stonetown kabisa nenda 6 degrees south ukatizame, kama upo karibu na pande za aiport nenda Zanzibar ocean view mazizini.
Asante sana, nipo karibu na baraza la wakilishi.Kwa zanzibar town itakulazimu ujichimbie kwenye mahoteli tu, mana kila mtu ana cable kwake. kama upo stonetown kabisa nenda 6 degrees south ukatizame, kama upo karibu na pande za aiport nenda Zanzibar ocean view mazizini.
basi upo karibu, mwambie mwenyeji wako akupeleke zanzibar ocean view mkabala na zanzibar beach resortAsante sana, nipo karibu na baraza la wakilishi.