K ksb Member Joined Feb 28, 2013 Posts 42 Reaction score 0 Dec 26, 2013 #1 WanaJF Naombeni msaada kujua sehemu za burudani mjini mtwara,natarajia kuwa mtwara kikazi kwa wiki 3,je kuna sehemu nzuri ya burudani kama vile night club na je kuna watoto wazuri wa kuvinjari? N.k
WanaJF Naombeni msaada kujua sehemu za burudani mjini mtwara,natarajia kuwa mtwara kikazi kwa wiki 3,je kuna sehemu nzuri ya burudani kama vile night club na je kuna watoto wazuri wa kuvinjari? N.k
BRN JF-Expert Member Joined Nov 18, 2013 Posts 5,379 Reaction score 6,890 Dec 26, 2013 #2 Mkuu kuhusu night clubs kuna Makonde na Maisha.
BRAVO 2 ZERO JF-Expert Member Joined Jul 16, 2013 Posts 1,213 Reaction score 1,278 Dec 26, 2013 #3 BRN said: Mkuu kuhusu night clubs kuna Makonde na Maisha. Click to expand... Ila tatizo mziki unaanza >11.00pm
BRN said: Mkuu kuhusu night clubs kuna Makonde na Maisha. Click to expand... Ila tatizo mziki unaanza >11.00pm
K ksb Member Joined Feb 28, 2013 Posts 42 Reaction score 0 Dec 26, 2013 Thread starter #4 BRN said: Mkuu kuhusu night clubs kuna Makonde na Maisha. Click to expand... ahsante