richard12 Member Joined Sep 6, 2015 Posts 21 Reaction score 3 Oct 18, 2015 #1 Mimi ninautalaamu wa kutengeneza mishumaa ila sijui maeneo ambayo wanauza material ya utengenezaji wa mishumaa kama kuna mtu anafahamu tafadhali nifahamishe nami
Mimi ninautalaamu wa kutengeneza mishumaa ila sijui maeneo ambayo wanauza material ya utengenezaji wa mishumaa kama kuna mtu anafahamu tafadhali nifahamishe nami