Athman Profesa Member Joined Sep 4, 2017 Posts 43 Reaction score 43 Oct 15, 2020 #1 Habarin za sahiz jaman kuna ka birthday ka mtoto hiv karibuni. Nilikuwa naomba kuelekezwa kwa hapa Dar, studio inayofanya photoshoot na kuandaa background kama mfano wa picha niliyo attach hapa. Ntashukuru kwa ushirikiano wako.
Habarin za sahiz jaman kuna ka birthday ka mtoto hiv karibuni. Nilikuwa naomba kuelekezwa kwa hapa Dar, studio inayofanya photoshoot na kuandaa background kama mfano wa picha niliyo attach hapa. Ntashukuru kwa ushirikiano wako.
mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,195 Reaction score 49,137 Oct 15, 2020 #2 Ukitaka za dizaini hii nishtue mkuu.