Sehemu salama wanandoa kuachana.

Wick

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
8,311
Reaction score
12,202
Hii ndio sehemu maalum wanandoa wanapoweza achana bila kuwa na kinyongo baina yao!. kazi kwenu wanandoa mnaotaka achana kwenda tembelea!.
 
baada ya kufanikiwa kushirikiana kutumia kitanda finyu, kijiko, sahani moja na uhaba wa nafasi katika chumba hicho wanajikuta wanajawa na roho ya kusameheana. Mbunifu wa hicho chumba alilenga kiwe 'chuo' cha kuvumiliana na kuchukuliana zaidi ya kujengeana visasi.

hapa kuna funzo:
vitanda vya 6*6 ni kwa ufahari wa macho lakini kwa ndoa mmh. ukinuniana na memsahibh anajitenga hukoo. na wala huwezi kupata ari ya kumkaribia myamalize. na hapo ndipo utaelewa kilio alichokuwa nacho ALLY ZORO katika wimbo BABA PAROKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…