Sehemu nzuri ya makazi Mwanza City | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sehemu nzuri ya makazi Mwanza City

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kingdom_man, Dec 13, 2011.

 1. Kingdom_man

  Kingdom_man JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2011
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 560
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 60
  Habarini wadau!. Msaada kidogo kwenye hili ni sehemu gani nzuri mwanza kwa makazi ya kuishi?. Napenda niishi Mwanza sasa sina pa kuanzia!. kwa anayefahamu kiwanja/sehemu nzuri ya kujenga na gharama anijuze tafadhali!
  Wapi naweza pata kiwanja cha bei poa na ni sehemu gani tulivu kwa makazi Mwanza city?!


  Asante sana
   
 2. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #2
  Dec 13, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,905
  Likes Received: 226
  Trophy Points: 160
  nadhani itakuwa ukienda nje ya jiji kidogo! kama Missungwi huko bei poa. Ila inachukua kama dkk 20 kuingia ndani ya jiji kama una usafiri wako. Vinginevyo Nyegezi, Igoma, Nyasaka au maeneo ya Igombe au vuka Kamanga Ferry utapata sehemu nzuri lakini umeme haupo.
   
 3. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #3
  Dec 13, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,832
  Likes Received: 362
  Trophy Points: 180
  Kajenge bwiru pako powa sanaaa..mie napakubari
   
 4. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #4
  Dec 13, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,559
  Likes Received: 1,457
  Trophy Points: 280
  Hata mimi Nahitaji kuwa na kiwanja nasikia Mwanza ni Pazuri
   
 5. Kingdom_man

  Kingdom_man JF-Expert Member

  #5
  Dec 13, 2011
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 560
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 60
  Asanteni sana wadau. APPRECIATE :poa
   
Loading...