Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,027
Sasa hizo ulizozikataa ndio beach nzuri.Mambo vp wadau, naombeni mwenye kujua sehemu nzuri ukanda wa beach za kigamboni ambayo imetulia na naweza kupumzika na mwenza wangu tukapata lunch, dinner na kubadilishana mawazo na kupanga mipango miwili mitatu!! Isiwe Kijiji beach, mikadi beach wala south beach. Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Fun city sio beach na wewe soma uelewe, km unajua hzo tu km mimi tulia, kigamboni kuna viota vingi vya beach ambavyo hujawahi fika ila kuna wadau humu wanazijua, tulia ili nawe uzifahamu!!Sasa hizo ulizozikataa ndio beach nzuri.
Basi nenda Fun City ukabembee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pochi sio tatizo mkuu, ngoja niitafuteRas Kiroko mkuu, hutojutia. Ila uwe na pochi nene.
Kila la kheri mkuu.