Sehemu ipi hatari kwa umbea

zegamba180

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
818
536
Nimekuwa nikisikia kuwa kuna baadhi ya sehemu wanawake wanapiga umbea wa hatar. Sasa ipi zaidi?
1. Msibani
2. Saloon
3. Bombani/kisiman
4. Bar
 
We ni mwanamke au ni mwanaume
Kama ni mwanamke unapata muda wapi wa kuanza kuwaza haya badala ya kufanya shughuli za kifamilia hapo nyumbani.. Na kama ni mwanaume we ni jipu SAMAHANI
Asante
 
Back
Top Bottom