Sehemu gani Iringa kula bata?

Sehemu gani Iringa kula bata?

Luxury pub, V.I.P, kuna +255 pub au miami bar na holiday in hapo kuna starehe zote za dunia his mkuu karibu iringani
 
Hakuna sehemu yenye maeneo mabovu kwa starehe za kawaida kama Iringa...m

Miami kwenyewe pachafu mno, yani jikoni na chooni panatazamana, sahani zinaanguka chini na mimaji maji yale na bado anaokota anakuwekea vya moto....

Angalau kule karibu na kwa mkuu wa mkoa , pana unafuu, sema ni nje kidogo ya mji.......
Otherwise.. IRINGA IS BORING
 
la parte
gentle hill
vip
ruaha
255 pub
luxury bar
mwakatundu
jiwe gangi
container ruco
miami
manyara
holiday
mabanda ccm
mama siyovelwa
kalenga
 
Wadau ukiwa iringa mjini sehemu gani penye totoz wazuri wa kujiachia nao
Halafu eti wajinga fulani wanadai hali ngumu,kula bata mkuu,wacha wapiga porojo waendelee na porojo zao,Tanzania ni peponi bana
 
Back
Top Bottom