Sehemu bora ya kufanya kilimo Kanda ya Ziwa

Habari wana JF,
Je ndani ya Kanda ya ziwa ni maeneo gani bora kwaajili ya kilimo chenye tija na je mashamba yenye udongo wenye rutba yanapatikana sehemu Gani??
Mkuu kilimo gani sasa maana hujabainisha mhogo au mchicha
 
Habari wana JF,
Je ndani ya Kanda ya ziwa ni maeneo gani bora kwaajili ya kilimo chenye tija na je mashamba yenye udongo wenye rutba yanapatikana sehemu Gani??
Kanda ya ziwa ni kwa ajili ya kilimo cha mtama, ulezi, Viazi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…