sidhani kama nimekusoma mkuu
Wape hi jamaa wa Tanzanian house mkuu!
sidhani kama nimekusoma mkuu
Ndio zenu hizo, mkiwa nchi za wenyewe kila siku mnakosoa kila kitu kama kwamba huko kwenu Tanzania ni binguni. Tumezoea hapa JF posts jamaa wanatoa eti "niko hapa Kenya hawa watu wana njaa"
Niko hapa Sudan, nilikua nachati kwenye skype na mshikaji kuhusu Rais wa hapa ghafla ile chat flow yote imetoweka, nimetetemeka sana....

Mimi si mtumiaji mzuri wa jf lakin toka nimemjua huyu jamaa kazi yake ni kuponda waTZ tu sijawahi hata kama wakiongelea mambo ya kweli.
Sijui anawashwa na nini huyu. Yaani anaona kama fasheni fulani kutudhalau watanzania. Hana maana.
tumtenge?
Ndio zenu hizo, mkiwa nchi za wenyewe kila siku mnakosoa kila kitu kama kwamba huko kwenu Tanzania ni binguni. Tumezoea hapa JF posts jamaa wanatoa eti "niko hapa Kenya hawa watu wana njaa"
labda kama utasafiri kwa ungo, chezea wadinka wewe!!!!!nitakupa mrejesho, nipo Khartoum lkn nitakwenda Juba