Security alert

makeda

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2012
Posts
279
Reaction score
110
Nimeikuta hii kitu facebook;

Kwa kifupi:

Taarifa zilizolifikia jeshi la polisi zinaonyesha kuwa kuna kikundi cha wahalifu wanaopendelea kuwa karibu na vituo vyakujazia mafuta ambao hujifanya kuwa wao wako kwenye promosheni,ambapo hutoa bure au kuuza bei poa vining'za funguo vyenye kuvutia mno!

TAHADHARI:
usinunue wala kupokea vitu hivyo kwakuwa ndani yake kuna mfumo unaomwezesha aliyekupa kukufuatilia popote ulipo na kuhatarisha maisha yako.

TAFADHALI SAMBAZA UJUMBE HUU KWA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI



Nimeiona hii kitu facebook;

Information reaching Police indicates that: There is a syndicate of criminals selling beautiful key holders at Petrol Stations and some streets in Dar.

They sometimes parade themselves as sales promoters giving out free key holders.

Please do not buy or accept these key holders no matter how beautiful they look.



The key holders have inbuilt tracking device/chip which allows them to track you to your home or wherever your car is packed. The key holders are very beautiful to resist. Accepting same may endanger your life.

All are therefore enjoined to pass this message onward to colleagues, family members and loved ones. Alert everyone in your clique, including Drivers, Domestic staff etc
 
Mkuu ningekushauri hii tahadhari yako ungebadili iwe kwa kiswahili
 
Nmeikuta hivyo nkaileta km ilivyo,labda kama kuna mtu ni mkalimani mzuri aiweke kwenye kiswahili then ntaichukua na kuedit hili bandiko.

Mkuu ningekushauri hii tahadhari yako ungebadili iwe kwa kiswahili
 
kwa kifupi :
Taarifa zilizolifikia jeshi la polisi zinaonyesha kuwa kuna kikundi cha wahalifu wanaopendelea kuwa karibu na vituo vyakujazia mafuta ambao hujifanya kuwa wao wako kwenye promosheni,ambapo hutoa bure au kuuza bei poa vining'za funguo vyenye kuvutia mno!
TAHADHARI: usinunue wala kupokea vitu hivyo kwakuwa ndani yake kuna mfumo unaomwezesha aliyekupa kukufuatilia popote ulipo na kuhatarisha maisha yako.
TAFADHALI SAMBAZA UJUMBE HUU KWA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI
 
Asante.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…