Mshombsy
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 372
- 180
Nimeona uzi hapa na facebook page ya BBC kwamba Rais Obama amemtua katibu wa jeshi shoga.
Tunapotafasiri maneno ya nje ni vizuri tufanye kwa kuzingatia cheo kulingana na nchi husika. Hivyo Rais Obama amemteua Waziri wa jeshi ambaye ni shoga.
Mfano katibu mkuu kiongozi wao ni chief of staff na hata wao ukiangalia balozi Ombeni hawatamuita chief secretary bali chief of staff. Huyu ni mtu muhimu kwa rais kuliko Waziri Mkuu ndio maana hawana waziri mkuu.
Leo uwezi kumuita John Kelly katibu wa mambo ya nje kisa ni secretary of state. Ni waziri wa mambo ya nje kwa kiswahili chetu.
Naomba kuwasilisha