Mkuu,
Duniani kama kuna makunci 20 ya kigaidi basi itakuwa 19 ni ya Kiislam na yanasema na kutumia kitabu cha Kiislam kufanya hivyo,kwanini?
Duniani kuna dini nyingi sana,kwanini wajibainishe na dini hiyo?
Sitaki kuingia kwenye mistari inayozungumza kuhusu vurugu kwenye quran kwasababu tutabishana na kupoteza muda tu bure hapa,ninachotaka wewe ujiulize ni kwamba kwanini hao wote wachague Uislam na sio dini nyingine
Pia hakuna hata kundi lolote la Kiislam ambalo limejitokeza hadharani kuwapinga hawa....
Kuna hadi viongozi wa Kiislam huko mashariki ya kati wamekuwa wakihamasisha kuwauwa Wayahudi na wasio kuwa Waislam,kwanini?
Mbona kauli hizi hatuzisikii kutoka kwenye dini nyingine?
Ushoga na Usenge ni mambo ya Waislam. Kama kuna Mkristo anayafanya hayo basi ni kwa kumwiga MuislamSasa mkuu mfano nikikuuliza kwanini na mambo ya ushoga/usagaji yanahusishwa kwenye ukristo tu na si dini nyengine je,utanipa jibu gani?
Wameelewa[h=1]Christians more militants than Muslims, says equality chief Trevor Phillips[/h]
Last updated at 10:05 PM on 19th June 2011
- Equalites chief says evangelical views on subjects such as homosexuality clash with mainstream views
- Christians are more militant than Muslims in complaining about discrimination, the head of Britains equality watchdog has claimed
Controversial: Trevor Philips believes Muslims are better at integrating into British society than evangelical Christians
Christians are more militant than Muslims in complaining about discrimination, the head of Britains equality watchdog has claimed.
Trevor Phillips said Muslims are better at integrating into society, while Christians often complain about bias for cynical political gains.
Mr Phillips, the head of the Equality and Human Rights Commission, blamed the increasing influence on mainstream churches of African and Caribbean immigrants with intolerant views.
In contrast, he said Muslims are doing their damnedest to develop an idea of Islam that is compatible with living in a modern liberal democracy.
He added: I think theres an awful lot of noise about the Church being persecuted but there is a more real issue that the conventional churches face that the people who are really driving their revival and success believe in an old-time religion which, in my view, is incompatible with a modern, multi-ethnic, multicultural society.
Muslim communities in this country are doing their damnedest to come to terms with their neighbours to try to integrate and theyre doing their best to try to develop an idea of Islam that is compatible with living in a modern liberal democracy.
[h=4]More...[/h]
The most likely victim of actual religious discrimination in British society is a Muslim, but the person who is most likely to feel slighted because of their religion is an evangelical Christian.
Senior churchmen, such as former Archbishop of Canterbury Lord Carey, have attacked equality laws for stifling Christianity.
Muslim support: Trevor Phillips said Muslims were less vociferous than other religions because they are trying to integrate into British liberal democracy
However, Mr Phillips said many of the legal cases brought by Christians over homosexuality were motivated by an attempt to gain political influence. He told the Sunday Telegraph: I think for a lot of Christian activists, they want to have a fight and they choose sexual orientation as the ground to fight it on. I think the argument isnt about the rights of Christians. Its about politics.
Religious differences: Former Archbishop of Canterbury Lord Carey has in the past attacked equality laws for stifling Christianity
There are a lot of Christian activist voices who appear bent on stressing the kind of persecution that I dont really think exists in this country.
But Mr Phillips, who was brought up in a Salvation Army background, said he could understand why a lot of people in faith groups feel a bit under siege. Theres no question that there is more anti-religion noise in Britain, he said.
He also said equality laws should not apply to the internal organisation of religious groups.
Its perfectly fair that you cant be a Roman Catholic priest unless youre a man, he continued. It seems right that the reach of anti-discriminatory law should stop at the door of the church or mosque.
Tory MP Philip Davies suggested Mr Phillips was attempting to take the spotlight off his domestic difficulties at the beleaguered body. Home Secretary Theresa May has vowed to reform the organisation after a report branded it a costly failure.
Ushoga uko mwingi makanisani,na pia unafuatwa na viongozi wakubwa wa nchi zilizotoka hayo makanisa.Ushoga na Usenge ni mambo ya Waislam. Kama kuna Mkristo anayafanya hayo basi ni kwa kumwiga Muislam
Mkuu idea ipo hivi..tuna ongelea dini ya uislam na nn inachoeleza juu ya ugaidi..atusemei watu ambao wanaonekana kua wafuasi wa dini hii.. Dini ipo constant na maamlisho yake ni yale yale miaka yote ila watu wanabadilika na mtu anaeza fanya kitu kama anavyo elezwa kwenye dini au akafanya kitu tofauti.
Sasa kimsingi kabisa sipo hapa kutetea mtu ila nipo kutetea hii dini na maamlisho yake..sasa je kuna sehem katika dini hii wanaeleza kufanya ugaidi au una support ugaidi? Wap kwenye kitabu kitakatifu hii habari hipo?
Sasa kuna usiasa upo hapo! Dini inasema vingine na watu wanafanya vingine tofauti na mafundisho ila mwisho wa siku inaonekana ni tatizo la dini. Hii sio sawa mkuu
Sasa mkuu mfano nikikuuliza kwanini na mambo ya ushoga/usagaji yanahusishwa kwenye ukristo tu na si dini nyengine je,utanipa jibu gani?
Ushoga uko mwingi makanisani,na pia unafuatwa na viongozi wakubwa wa nchi zilizotoka hayo makanisa.
waislam wanatumika nao wanafurahia na kuchekelea kwamba wao ndio wame attack charlie ebdo kisha kujiona mashujaa... nilijiuliza hivi ni kweli walishindwa kuwakamata wakiwa hai hao kuouche brothers, nilikosa jibu! kumbe ni kuwaziba midomo na watu hawatajua kweli kama wamehusika au lah.
Inawezekana hawa vijana walikuwa na historia ya uxtremist huko nyuma, na hapo ndipo walipotumia loop hole ya kuwabimbikizia ! na mwingine waliyemziba mdomo ni mchunguzi mkuu wa hii charlie ebdo eti amekutwa amejiua baadaye!
Hii dunia hii bila muslims ku wake up na ku condems hizi vitu......
alkaeda wametumika kupiga wtc na waislam walio wengi eti wanajivunia, kumbe ni janga kwa dunia na kwao waislam, ilibidi walikemee....
ISIS wanatumika kucreat great israel project, kummaliza assad , kudestabilize iraq , then greater israel will be accomplished laters, wayahudi nasikia wameshaanza kununua nyumba huko iraq !
boko haram ni project ya mossad na cia ya afrika magharibi.....
al shabab ni project ya mossad na cia ya afrika mashariki ....
cc stata mzuka Manosa THE BIG SHOW MziziMkavu Ritz FaizaFoxy Eiyer Shekeli TEGETA KIBAONI
Unasema mengi lkn nami nijaribu kuchangia, uislam unamaamlisho mengi yasiyo safi. Na siyo dini ya amani kama unavyoeleza, ina watenga watu wa jamii ya kiyahudi na kuwasema si watu wa karibu na dini hiyo lkn pia haina uwazi kwa wakristo ambao wanaitwa watu wa kitabu. Na kibaya zaidi Mungu wa huku anayetewa na watu. Inampa mwanya mtu mbaya na mwenye mawazo ya kishetani kutekeleza uovu wake akidhani anatetea maamlisho. Hizi ndizo zama za uovu huu kusimama Mungu wa kweli atatatetea Watu wake. Nadhani umenielewa hakuna amani kama kuna utengano wa makundi ya kijamii. Katika imani yako
Wanafanya ushoga kwasababu za kidini kama Boko Haram,ISIS/ISIL na makundi mengine yanavyofanya ugaidi kwasababu za kidini?
Mfano wako uko nje ya context
Mashoga hawafanyi hivyo na kutangaza kufanya hivyo kwasababu Mungu wa Kwenye Biblia amewatuma hivyo
Hakuna mahali popote mashoga wamedai kwamba wao wanajisikia raha kufanya hivyo kwasababu wanapofanya hivyo wanamtumikia Mungu wa kwenye Biblia
Hao wanaofanya ushoga wanafanya hivyo kwasababu zao binafsi na wala huo ushoga wao hawauhusishi na imani yao bali wanafanya hivyo kwasababu zao wenyewe
Hata hivyo,tikiwakusanya mashoga wote duniani mashoga ambao ni viongozi wa imani ya Kikristo sio wengi kama watu wa kawaida na kwasababu hiyo ushoga ni suala la watu fulani ambao hawajajihusisha na imani yoyote!
Usiangalie nani anafanya nn kisha ukasema ndio mafundisho ya dini. Sisi kama waislam tuna reference mbili tu za kuongoza maisha yetu.. Ni maandiko matakatifu ya Qur'an au sunnah(yaan mienendo ya mtume kama kiigizo)..hatuangalii chochote zaidi ya hapo. Sasa kama kuna sehem katika hivyo viwil vime amrisha uchafu huo tuonyeshe hapa. Usiangalie mtu anafanya nn... Concentrate na kinacho elezwa kwenye dini na mafundisho ya mtume.
Mkuu kuna kitu una contradict hapo...
Kwanza sijui source ya takwim zako kama zina uhakika gani.. Lakin hili lisiwe tatizo kwan ushoga ni tabia na katika fikra za kawaida hamna dini inayo ruhusu ushoga... Kwa iman yangu mm ni haram na ni dhambi kubwa kwa mwanamke kuingiliwa kinyume na maumbile.. Vp kwa mwanaume!?..
Pili, tukitaka kui judge dini tuangalie inaelekeza nn na tusiangalie watu ambao wanajiita wana iman hiyo wanafanya nn. Mtu anaeza fanya jambo ambalo ni kinyume na maamrisho ila wakatafsiri ndio mafundisho yao ktk dini.. Hapana usijudge dini kwa mtiririko huo.. Kwan ukristo haujakataza wizi? Vp hamna wizi ambao dini yao ni ukristo? Je mkristo akiiba ndio tuta judge kua ni maarisho ya dini yao? Sasa iweje scheme hii itumike kwa dini ya kiislam!?
Naomba mola awaongoze mkuu!
Kimsingi maelezo yako yanakubaliana na kile ambacho mimi nakisema hapa na hili wanapaswa walisome Waislam wenzako UHURU JR na Kikwajuni One
Sababu za kulaumiwa Uislma nimeshazisema hapa mara mia kidogo!
Kwan sababu zako za kulaumiwa uislam n zipi? Naomba link nisome kidogo na mie
Haya someni nyie wazungu wa Kitanganyika.