Secret Admirer? A Flirt????


Hapo kwenye red..Baasi ndio uzuri wa Lawyer, ukimwomba ushauri kidogo anakuweka kwenye ka-angle fulani hivi. Halafu invoice fulani inakuwa drafted (mnaitaje?).......Sisemi kwenye hili una maslahi ila nimezungumza generally!!
 
Na hii ndio ilikuw apoint yangu

Anaweza dhani ni mwanamke kumbe ni mtu mwingine kabisa
Kajifanya binti mdogo lakini ana jambo lake, mie nilimshauri akaripoti polisi na TCRA

Kongosho pls tell me the vogue owner is your brother.........nahisi kuna kina kitu hapo...au?
 
Wajanja hawa, wanatumia maneno ya kuchanganya wwee ili wakukamue

Ngastuka siku miiingi

Hapo kwenye red..Baasi ndio uzuri wa Lawyer, ukimwomba ushauri kidogo anakuweka kwenye ka-angle fulani hivi. Halafu invoice fulani inakuwa drafted (mnaitaje?).......Sisemi kwenye hili una maslahi ila nimezungumza generally!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…