Secret Admirer? A Flirt????

Yaani we acha tu utatafuta sehemu ya kuuweka uso utakosa ndio maana nkasema usiombe yakukute coz huwa ni machungu yasiyomezeka.
He he he, mkwara mbuzi?

Huu mwisho wake ni kuaibika tu
 
Could be anyone.., huenda hata sio binti.., au ni member wa vibaka wanataka wakikutana tu wamvamie au wasingizie ni mke wa mtu wamemfumania awape pesa even worse wamsingizie kambaka binti..

Dunia hii kuna mbinu tofauti za watu kujipatia lishe.
 
He he he, unao uzoefu huo?

Yaani we acha tu utatafuta sehemu ya kuuweka uso utakosa ndio maana nkasema usiombe yakukute coz huwa ni machungu yasiyomezeka.
 
pole kwa kutishwa na kabinti kadogo, mkubalie point yake ya meeting kisha mpe lift one day frm town to masaki kisha mpe aendeshe mitaa ya kwao ukiwa nae basi hatakusumbua tena.
 
Duh, hope atasikiliza maneno ya watu waliomshauri

Maana anayetumiwa sms ndo anaamini ni binti, ila wengine wanaomzunguka wanamwambia awe mwangalifu, can be anyone. Tena kutokana na nafasi yake ndio inaweka pabaya zaidi.

Could be anyone.., huenda hata sio binti.., au ni member wa vibaka wanataka wakikutana tu wamvamie au wasingizie ni mke wa mtu wamemfumania awape pesa even worse wamsingizie kambaka binti..

Dunia hii kuna mbinu tofauti za watu kujipatia lishe.
 
Tatizo la kukutana naye ni, je sio set up? Kama sio set up ni kabinti tu hiyo si ishu sana

pole kwa kutishwa na kabinti kadogo, mkubalie point yake ya meeting kisha mpe lift one day frm town to masaki kisha mpe aendeshe mitaa ya kwao ukiwa nae basi hatakusumbua tena.
 
Wenye pesa wenyewe wa kuhesabu, hapo hapo

:bounce🙁 Mwanamme akiwa 'mshamba polished' afu ana pesa anaye ana raha yake):bounce:

Haaaaahaaaaahaa mpe wajijue kuwa hawahemi kweli sio mchezo chezeya wanawake watafuta pesa wewe!!!!!!!!
 
Alahhhhhh chezeya we unafikiri mpaka naongea kwa hisia hivi ni mchezo?nilkuwa nampiga mkwala mbuzi kijana mmoja hivi akawa ananiogopa si mchezo ila siku alipoamua kunikomalia sikuamini majicho,kwa hiyo mwenzangu sitaki tena mambo ya mikwala mie akkhhaa nishakoma.ptuuuuuu natemea mate chini.
He he he, unao uzoefu huo?
 
Duh, hope atasikiliza maneno ya watu waliomshauri

Maana anayetumiwa sms ndo anaamini ni binti, ila wengine wanaomzunguka wanamwambia awe mwangalifu, can be anyone. Tena kutokana na nafasi yake ndio inaweka pabaya zaidi.

Kweli kabisa mimi ilishanitokea mtu ananipigia simu anasema anataka kuongea na mimi ana kitu cha kuniambia, anauliza kama nina muda, nikamwambia mimi nipo busy aongee mwisho wa siku eti ameniona siku nyingi sana ananipenda ila anaogopa kuniambia eti nikipata muda nichagua sehemu tukutane.., alafu mwisho akajichanganya akasahau eti kwani unafanya kazi wapi / unafanya nini ?, (sasa mtu ananifahamu na kunipenda na ameniona siku nyingi alafu hajui nafanya nini ?), mwisho wa siku nikagundua kwamba hawa watakuwa wale wale wanatafuta namba za watu na wanaomba mkutane sehemu ili waweze kukuvamia na kukuibia (ukizingatia sio vigumu kupata simu ya mtu). Au hata ukikutana nae kesho yake mtu akija na kusema yule ni mke wangu ?

Nadhani hii njia ni hatari sana na ni kujitafutia matatizo ya bure cha kufanya jamaa ni ku-block namba ya huyo so called binti atachoka mwisho wa siku atatafuta mwingine wa kumuibia
 
Tatizo la kukutana naye ni, je sio set up? Kama sio set up ni kabinti tu hiyo si ishu sana

sasa na wewe si unataka tatizo liishe? au unafurahia na unataka hiyo hali iiendelee?

wewe nenda hiyo appointment yake tena ikiwezekana nenda na teksi kama sio kivitz then unatokelezea kivingine tofauti na anavokutarajia ili umsome na umjue ni nani. La tafuta mtu pembeni atakayekuwa anamfuatilia kwenye appointment anazokupa then ampige pic mtu ambaye anakuwa yuko maeneo hayo anaongea na simu wakati wewe unaongea bila wewe kwenda eneo la tukio.

La kama ni matapeli ignore na iweke hiyo namba kwenye ignored list au black list, unaiblock akikupigia hakupati wala msg zake hazikufikii vivo hivo akibadili namba ingine.

Mwisho tafuta personal body guards wawili tuu watakao kuwa na wewe popote uendapo hata ukienda semina ughaibuni uwe tayari kuambatana nao. uwalipe vizuri kuliko wafanyakazi wa benki na migodini ili wasirubuniwe na hao matapeli ili kukuweka kwenye mitego yao.
if those things persist ........................
 
Aisee, wanamme nanyi siku hizi mna tabu tu

Ni kuiblock, au kwenda TCRA na polisi, ina case chochote kitatokea

Na mie namshangaa kwa nini asii-block? Ndo maana nahisi ana-enjoy hiyo 'flirting' bila kujua anaweza maisha yake rehani.

 
Angalizo, si mimi, ni jirani yangu
Mie sina miaka 50 jamani, bado bado shavu dodo(mbona nimeiogopa miaka 50 hadharani? :A S shade🙂

Mie nimemshauri aende polisi kwanza

 
Ha ha ha ha ha, mkwara mbuzi? Haufai kabisa huu

Unatunisha msuli wakati ni betina?

 
Yanakeraje? Kumbuka huyu baba hamjui huyo binti wala
Kongosho una uhakika kuwa jamaa hamjuio huyo binti? Na una uhakika kuwa huyo Binti hamjui huyo jamaa!! to me ni kama vile huyomdada anamfahamu vema huyo mbaba kiasi cha kuelewa which button to press aisee!! Mtu asokujua kabisa hawezikutishia na wewe ukaogopa!
 
Mie nachohisi hata huyu baba anaenjoy hii drama, kwa nini hataki kwenda polisi wala ku-block simu yake?

 
Aisee, wanamme nanyi siku hizi mna tabu tu

Ni kuiblock, au kwenda TCRA na polisi, ina case chochote kitatokea

Na mie namshangaa kwa nini asii-block? Ndo maana nahisi ana-enjoy hiyo 'flirting' bila kujua anaweza maisha yake rehani.

Ha ha haa unajua tena wengine wanasema opportunity comes once in a life time.., tena mtu ukishamwambia unampenda anaona kama vile bahati ilioje na sio ya kuachia (si unajua tena) ndio hapo anaanza kufikiri kwa kutokutumia kichwa chake bali viungo vingine.., ana-hope kwamba huyu awe ni genuine.

Ingawa sikatai kwamba huenda huyu dada akawa mkweli ila kuna 80% ya kwamba ni tapeli, ukilinganisha risk na faida its not worth it kuweka maisha yako rehani.., tena siku hizi na hizi cameras anaweza kupigwa picha katika sehemu hatarishi na wakaanza kumu-blackmail... (si unajua tena hata hawa vibaka siku hizi hawachelewi kuanza kuigiza kama kwenye movies..)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…