Secret Admirer? A Flirt????

I can guess huyo aweza kuwa ex wake ambaye hajui atamrudishaje jamaa kwenye lain hasa ikiwa jamaa keshaoa.
 
Kimbembe kinakuja pale atakapokujua na kujua kuwa huwezi kumfanya lolote,aibu yake isikie tu asikwambie mtu na omba hilo lipite mbali yako lisikukute.
Kuna mibaba inakera wewe, muda mwingine inabidi ujifanye una vitisho mkwara mwingi kumbe huna hata cha kumfanya!!!
 
Jamaa kaoa miaka mingi, ila sasa hivi kimepanda ile mbaya

Maisha yamekuwa tambarare

I can guess huyo aweza kuwa ex wake ambaye hajui atamrudishaje jamaa kwenye lain hasa ikiwa jamaa keshaoa.
 
Kimbembe kinakuja pale atakapokujua na kujua kuwa huwezi kumfanya lolote,aibu yake isikie tu asikwambie mtu na omba hilo lipite mbali yako lisikukute.

Dawa ni hakuna kulegeza kamba mkwara kwa kwenda mbele, yani sisimizi anamtisha tembo ha ha ha!!!
ila huwa ni maboya sana mababa yanayopigwa mikwara sijui ndo hofu ya kuogopa kuharibu ndoa.
 
Mmh, i wish anagekuwa ananidanganya, am scared for his life

Tusiwe tunadhani ni scret admirer kumbe Osama
Si unajua kadri majukumu ynavyozidi unagusa 'interest' za watu wengi zaidi

umejuaje? ndivo anavokudanganya eeeh?
mwaka huu husalimiki
 
He he he, mkwara mbuzi?

Huu mwisho wake ni kuaibika tu

Kimbembe kinakuja pale atakapokujua na kujua kuwa huwezi kumfanya lolote,aibu yake isikie tu asikwambie mtu na omba hilo lipite mbali yako lisikukute.
 
I guess he is enjoying the show too

Unajua wanamme nao hufurahi kupendwa, hasa anapoona anapendwa na kibinti kidogo wakati yeye anajiona keshazeeka
Inamfanya ajione kama yuko 25 hivi, so kuna saa nahisi anam-entertain hivi

Dawa ni hakuna kulegeza kamba mkwara kwa kwenda mbele, yani sisimizi anamtisha tembo ha ha ha!!!
ila huwa ni maboya sana mababa yanayopigwa mikwara sijui ndo hofu ya kuogopa kuharibu ndoa.
 
Mmh, i wish anagekuwa ananidanganya, am scared for his life

Tusiwe tunadhani ni scret admirer kumbe Osama
Si unajua kadri majukumu ynavyozidi unagusa 'interest' za watu wengi zaidi
sikuelewi kabis siku hizi! ujue unazeeka vibaya wewe?
 
Huyo siyo secret admirer. Wala siyo kwamba anamhashua huyo mbaba.

Anachofanya ni stalking, behaviour ambayo inaweza kuwa ni harassment au intimidation.

"Virtually any unwanted contact between two people [that intends] to directly or indirectly communicates a threat or places the victim in fear can be considered stalking"

However, in practice the legal standard is usually somewhat stricter.

Women often target other women, whereas men generally stalk women only.

But males are as likely to report being stalked by a male as a female offender
 
Hayo ndio matatizo ya kuwa mwizi unakuwa unaogopa siri zako kuvuja.
Dawa ni hakuna kulegeza kamba mkwara kwa kwenda mbele, yani sisimizi anamtisha tembo ha ha ha!!!
ila huwa ni maboya sana mababa yanayopigwa mikwara sijui ndo hofu ya kuogopa kuharibu ndoa.
 
Maisha yamekua yakushobokewa sana pindi ununuapo vitu vya bei kubwa.
Eeeeh! Wanaume hatuhemi tukiwa nazo.
 
Na hii ndio ilikuw apoint yangu

Anaweza dhani ni mwanamke kumbe ni mtu mwingine kabisa
Kajifanya binti mdogo lakini ana jambo lake, mie nilimshauri akaripoti polisi na TCRA

 
Reactions: EMT
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…