Amri nhelegani
Senior Member
- Sep 10, 2016
- 103
- 11
- Thread starter
-
- #81
Nikiatach hyo rangi ya njano katika picha hapo juu inatokea kamainavyoonekana hii picha hapa chini. Kwani hayo nilazima kuyajaza au kwanyie kama ulijaza nacte mlijaza vitu kama hivyo vinavyoonekana hapo kwa profile hapo chiniWadau mbona profile yangu inaonesha hv alafu hata sichaguliwi
we umesha chaguliwaWadau mbona profile yangu inaonesha hv alafu hata sichaguliwi
Ila kweli wajomba tangu ilo neno la wait for next selection waliweke kwenye profile ni muda sana aisee wangetupa majibu kwamba tunachaguliwa au hatuchaguliwi tujue mojaunaambiwa usubirie ww wait uta pewa updates any time
Hata mm profile yangu inaonesha hivyo hvyo wait for next selection lakini nikiingia walipo andika profile ndo nakuta image hyo bro @@MEKADDISHKEM Kwahyo hatuna utofautwe umesha chaguliwa
Wengine administration Status inasema plz wait for next selection
yako we ilikuwa hivi kabla au
tuambie
Hata mm profile yangu inaonesha hivyo hvyo wait for next selection lakini nikiingia walipo andika profile ndo nakuta image hyo bro @@MEKADDISHKEM Kwahyo hatuna utofaut
Nahc siyo ww tuuu hata mm alafu sijui wanatujaribu au wako seriously duuuuu huku tunapoendea tuta kuja ku apply mwakaniNaona kwangu wametoa hilo neno.sa hv inasoma kama mwanzo
Nahc siyo ww tuuu hata mm alafu sijui wanatujaribu au wako seriously duuuuu huku tunapoendea tuta kuja ku apply mwakani
Duuuh kweli alafu unajua ukiwatafuta kwa cm hawapatikn mara hawapokei cm na hawajb smsMm chakula akipandi tokes juzi..yan nahis kuumwa tumbo,NACTE wanachokitafuta watakipata
pia udom wametangaza, turn aroundwenye feedback za hili neno la please wait for next selection
au ndo Tusha temwa Wadau
Hyo turn around wanataka course ganipia udom wametangaza, turn around
katizame guidebook yao , tareh 24 mwishoHyo turn around wanataka course gani
Sisi tjnaongelea kuhusu nacte siyo tcuMmeambiwa deadline ya application ni 23rd. Sasa hawatatoa matokeo hadi deadline ya ku apply ifike. Kwahiyo muwe na subira acheni mchecheto
Nacte deadline ishapita alafu tcu ndo tarehe 23Sisi tjnaongelea kuhusu nacte siyo tcu
Nacte deadline ishapita alafu tcu ndo tarehe 23
Hata mm nime apply certificate wwAchana na ss...tunamaongez ya watu walio apply kusoma diplom na co bachelor
wenye feedback za hili neno la please wait for next selection
au ndo Tusha temwa Wadau