Second selection za NACTE zinaweza kutoka lini?

This not fair huwez tangaza deadline halafu kabla ya deadline unatoa maamuz
 
Ww muda unaenda basi wangetujb kwa sms coz tuliweka no. Zetu pale chini wanazo @wanatupa pressure tuuuuuu
 
kwa iyo wale tulio apply dead line ya 15/09
selection zetu Hakuna au
 
Ww muda unaenda basi wangetujb kwa sms coz tuliweka no. Zetu pale chini wanazo @wanatupa pressure tuuuuuu
mambo yanaenda kimya sijui kwanini,, mimi kwenye profile yangu naambiwa bado nisubiri hakikisho kutoka chuo husika,, lakini tayari nimetumiwa joining instruction
 
mambo yanaenda kimya sijui kwanini,, mimi kwenye profile yangu naambiwa bado nisubiri hakikisho kutoka chuo husika,, lakini tayari nimetumiwa joining instruction
Sasa mbona wanatufanyia hivi lakn. Dooooh
 
Kwa wanaosubiri second selection za nacte zinakaribia kutoka kwa walio apply tarehe 10-15. Na wale walio apply upya ambao hawakuchaguliwa mara ya kwanza next selection zinatoka nadhani ndani ya week hii
 
Wadau mbona profile yangu inaonesha hv alafu hata sichaguliwi
 
Attachments

  • 1474426707561.png
    34.1 KB · Views: 48
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…