Second selection za NACTE zinaweza kutoka lini?

Jaman mbona web ya nacte inasumbua ukiingia tu pale ukaingiza username na password ina load mpaka inagoma sasa sijui ni kwann
 
Na nacte leo wameamua duuuuuh
 

Attachments

  • 1473867589588.png
    8.1 KB · Views: 49
Nimewafuata nacte coz tangu tar 5 naandikiwa wait for second selection wakaniambia eti niendelee tu kungoja,na tar ya mwisho kesho hapo c ishatoka hyo
Dah pole sana dada but are you sure about your qualifications
 
Jaman nimeenda nacte wameniambia ni add matokeo yangu ya chuo..sasa mbona haifunguki tena..
 
Hizo second selection zinatoka lini maana sielewi jaman. Wananiandikia wait for second selection which was release soon
 
Alafu hata hawaziachii hivi ni mm tuuu ndo naandikiwa hvyo au
 
Toeni majibu bac jmn ili tufaidike na cc
Nishaipata hyo wanasema basic technician certificate unasoma mwakammoja then ndo unaingia technician certificate. Kwahyo hyo basic unasoma ili upate vigezo vya kusoma technician certificate (kwa upande wa health............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…