CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,361
- 6,441
Mwenye taarifa za second selection ya NACTE atujuze. Jana ndio ilikuwa siku ya kutoa matokeo, haikufanya hivyo. Kuna nini?
Mwenye taarifa za second selection ya NACTE atujuze. Jana ndio ilikuwa siku ya kutoa matokeo, haikufanya hivyo. Kuna nini?
Asante. Nimeona nilikuwa na shida ya mtandaoKama diploma Andica CAS halfu tafuta ktk diploma /Ftc holder.kama degree subiri bado kodogo
Profile wanasema watakujulisha umechaguliwa chuo gani baada ya confirmation na chuo husika.Kwa ambao wameambiwa wachague machaguo mengne profile zenu zinasemaj
Wameshapanga ila wanasubiri confirmation toka chuo husika, then watakuwekea kwenye profile yako utaona.Sasa ivyo vyuo cjui watapanga lini
All in all ni vyuo binafsi ambavyo hata havina mvuto wa hivyo. Tunakwenda tufanyeje! Vya serikali vimejaa first selectionIlaa hii miznguo hao nacte si wamepanga kutokana na cutoff za chuo husika sasa izo confirmation za nn tena ila ngoja tusubir
nashangaa sasa.....au nacte ni madalaliIlaa hii miznguo hao nacte si wamepanga kutokana na cutoff za chuo husika sasa izo confirmation za nn tena ila ngoja tusubir
nacte bado wanachakachua kuweni wavumilivuMda unaenda inahitaji maandalizi mapema
mie sioni chochote