Second selection vyuo vya afya majina yameshatoka

Second selection vyuo vya afya majina yameshatoka

midida

Member
Joined
Sep 17, 2015
Posts
57
Reaction score
0
kama we n mlengwa wa second selection ya vyuo vya afya tembelea profile yako...kila lakheri
 
unataka kuniambia inservice tayar washatoa ila sis wa kawaid profil ziko vilevile unatak kuniambia sis wa kawaid yatatoka leo pia

yeah endeleeni kufuatilia kwan kuna inservice pia ambao bado wanasubr update info kwenye profile zao.
 
yeah tuwen na subra pamoja na wale walioapply community health.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom