Second Selection Nacte

Second Selection Nacte

Duh nishakaa sana homecna vyuo vya private vimejaa,kwa matokeo haya naweza kupata kweli
Bios B,Chemistry C,Physics D,Math C na English C nimeomba diploma na certificates Clinical Medicine
Ni ngumu maana kuna wenye two za mwanzo wameachwa
 
Mkuu mm kwa kweli matokeo yangu ya 4m4 so mazuri nilipata three ya point 25 nka apply astashahada ya ualimu wa shule ya msingi kwa awamu ya kwanza nikatemwa na reason ilkua the last selected ana point 24 ko mm na 25 2kaambiwa kuapply upya HV kwel awamu ya pili watanichukua au niangalie private mkuu(history,C. Geo,C. Kiswahil,C. Math,D. chem,D. Bios,D. na masomo mengne yaliyobaki nilkua na d)
Asee pole tatizo linalingana na langu subiri bahati ikishindikana nenda private
 
Deadline ya kupeleka Majina 4 verification ilikua jana. Kwahiyo nikicheki verification status inamiambia "verification in progress". Majina ya awamu ya kwanza yalichukua kama 2 weeks kufanyiwa verification yalikua mia 6 kwa Chuo chetu.
Ila kwa sasa tumetuma mia 2 nadhani NACTE watatumia wiki 1 tu.

Muwe wavumilivu
 
Mkuu wewe ni muhisika wa hiko chuo? na je, chuo gani hiko? kinatoa kozi zipi na zipi
 
Vyuo vyote vya ufundi tunafuata ratiba ya NACTE waliitoa. Kwa sasa vyuo vya ufundi vimeacha kutoa Application kwasababu ni Muda wa NACTE kufanya verification. Kama hadi saa hujafanya Application kuna uwezekano ukawa umechelewa sana, labda waturuhusu tena ku-upload majina ya late applicants katika system yao.. Kumbuka Chuo kinampa deadline Applicant na chenyewe kinapewa deadline ya kupeleka majina NACTE.
 
Anhaa sawa kwahiyo hapo nikikosa chuo cha serikali nitulie hadi mwakani
Vyuo vyote vya ufundi tunafuata ratiba ya NACTE waliitoa. Kwa sasa vyuo vya ufundi vimeacha kutoa Application kwasababu ni Muda wa NACTE kufanya verification. Kama hadi saa hujafanya Application kuna uwezekano ukawa umechelewa sana, labda waturuhusu tena ku-upload majina ya late applicants katika system yao.. Kumbuka Chuo kinampa deadline Applicant na chenyewe kinapewa deadline ya kupeleka majina NACTE.
 
Hapana. Kama bado unania ya Kusoma, naamini NACTE watatoa window tena kwa late applicants.
Sawa mkuu unaweza ukaja inbox uniambie taarifa kuhusu chuo chenu pengine naweza mudu kusoma
 
Duh nishakaa sana homecna vyuo vya private vimejaa,kwa matokeo haya naweza kupata kweli
Bios B,Chemistry C,Physics D,Math C na English C nimeomba diploma na certificates Clinical Medicine
kama mim tyu nmekosa first round sasa sijui this time kama ntabahatika
 
Back
Top Bottom