TCU jamani basi inatosha! mtatuua kwa presha!
Enough is enough!
Toeni selection basi!
Tcu tushakoma jamani!
Mbona mnatufanyia ivyo!
Mbona mnatupa mateso!o
Hata tukila hatushibi!
Sawa bana mungu anawaona lakini!!!!![emoji29][emoji29]
nakumbuka tulikua tunasoma kozi za mechanics yaaani nlikua sielewi kabisa... kidogo niondoke kwa kweli... nikakaza buti kiume nikagongwa ka C na sasa nimemaliza daaaaah chuo si mchezo kabisa