second round

second round

Mbonea mweta

Senior Member
Joined
Sep 4, 2018
Posts
140
Reaction score
40
kuna nini tena majina ya selected applicant second round machache yani haieleweki
 
Majina ya wanafunzi ni machache sana na mpaka sasa nadhani wanafunzi wengi wamekatwa sana this sec application sijuwi wanafunzi wetuu watafanyaje
 
Am scared kwakweli. Hayo majina ni machache kiasi gan jaman
Majina machache sana na wengi hawajaona majina yao pia mpka sasa vyuo husika hawajatoa single selected name na mwisho wa kuaply n jtano
 
au ndo taifa LIPO KWENYE MAOMBOLEZO
 
tusubiri tu jamani maana kuna mtu kachaguliwa vyuo vitatu ila jina lake halijatoka kwenye watu wa multiple yeye amekuta kwenye account za vyuo alivoapply

Tuwewatulivu tu
 
tusubiri tu jamani maana kuna mtu kachaguliwa vyuo vitatu ila jina lake halijatoka kwenye watu wa multiple yeye amekuta kwenye account za vyuo alivoapply

Tuwewatulivu tu
Mzumbe naona na Udsm bado Mungu afanye wepesi
 
This is so strange. Je kama kuna mtu hajaona majina yake selection ya pili bado kwenye mkopo anamatatizo huyu mtu atakuwa na hali gan.? Ila God wil make a way for us all. Tusife moyo
 
Back
Top Bottom