Habari ninahitaji msaada nimefanya addisimon ya kuapply sec round kwa mwanangu chuo kikuu cha udsm lakini nilifanikisha kuaapply vizuri tu But kuna haya maneno ninayaona baada ya kuangalia my application
:THERE WAS A TECHNICAL ERROR RETRIEVING YOUR PRIOR ADMISSION STATUS PLEASEN LOGIN OR CHECK AGAIN LATER
nikiangalia namba yake simu imekuja nusu katika profile yake why naona haya maneno kama kuna mtu anafahamu jinsi ya kunisaidia nisaiide nimuokoe mwanangu hapa.