Jamaa yuko poa ila anapenda sana attention...
Maisha ya juu anayoonesha Insta sidhani kama ni kweli kwa 100%.
Kwa vitu vingine ni show off ambazo hazina maana.Ila ana haki ya kufanya chochote with his insta life or anything.
Ila stage hii ataivuka na kuachana na attention seeking.
Mwenzake Davis Mosha alishapita huko naona kawa mtulivu sana nowadays
[emoji23
Nachoona huyu jamaa bado hajavuka stage ya kiduwanzi ya show off..
Ila atakuja kutuliza mapepe na ku-stick into business 100%.
Kibongo bongo kwa jinsi anavyojionesha kwenye social media ni kama ametusua vikali.Ila kwa waelewa sidhani kila anachoonesha kina translate into reality.
Sidhani tajiri serious ana muda na in flight photos,au shopping photos,au dinner/food photos...au picha za magari kwenye dp...Sijui dhumuni lake hasa ni nini.
I can agree jamaa anajua sana kujipromoti yeye binafsi kuliko hata biashara zake.Yaani yeye anajulikana zaidi ya biashara zake.Maajabu....