mozambiqueone
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 238
- 122
Wasiliana na huyu jamaa kwa seat cover Kali 0656268111 duka lipo mikocheni karibu na shopez plazaThanks. Duka hili lipo mtaa gani tafadhali
Hawa jamaa ni level nyingine nilipeleka gari yangu walinifanyia laki 7.5. Siku nimeiuza ile gari nilitamani nitoe zile siti cover na urembo wa dashboard na kwenye milango. Gari ilikuwa nzuri sana ndani baada ya kuniwekea ma-cover yaoKama Wallet yako iko vizuri nenda Safari Automotive Upholstery. Unafika unachagua kitambaa wanakupa makadirio ya bei unaacha gari siku 2 au 3 unafuata. Wakafanya dashbord, doors, floor na paa la gari na seats. Utachagua package tokana na fungu lako. Ila bei sio cheap. Hizo Laki 2 labda doors tu.
Tulipeleka BMW e46 wakasema Laki 8. Sijajua gari lako. Ila ukienda pale gari utakazo zikuta zinafanyiwa kazi ni hatari. Mandinga Makali yote ya Mjini.
Hawa jamaa ni level nyingine nilipeleka gari yangu walinifanyia laki 7.5. Siku nimeiuza ile gari nilitamani nitoe zile siti cover na urembo wa dashboard na kwenye milango. Gari ilikuwa nzuri sana ndani baada ya kuniwekea ma-cover yao
Harrier Mat#@ko ya nyaniMkuu ilikua gari gani na vipi zilidumu sana au?
Sema wale jamaa ni kama vile ukiingia tu kwenye gari walizofanya kazi unajua tu hii ni ya safari automotive maana almost zote zinafanana zile seat covers huwezi pata ilio uniqueKama Wallet yako iko vizuri nenda Safari Automotive Upholstery. Unafika unachagua kitambaa wanakupa makadirio ya bei unaacha gari siku 2 au 3 unafuata. Wakafanya dashbord, doors, floor na paa la gari na seats. Utachagua package tokana na fungu lako. Ila bei sio cheap. Hizo Laki 2 labda doors tu.
Tulipeleka BMW e46 wakasema Laki 8. Sijajua gari lako. Ila ukienda pale gari utakazo zikuta zinafanyiwa kazi ni hatari. Mandinga Makali yote ya Mjini.
Asante sanaKinondoni Safari Automotive
Hawa jamaa ni level nyingine nilipeleka gari yangu walinifanyia laki 7.5. Siku nimeiuza ile gari nilitamani nitoe zile siti cover na urembo wa dashboard na kwenye milango. Gari ilikuwa nzuri sana ndani baada ya kuniwekea ma-cover yao
[/QUOTE
Nashukuru sana. Nilishawacheki wamenipa estimate. ThanksWasiliana na huyu jamaa kwa seat cover Kali 0656268111 duka lipo mikocheni karibu na shopez plaza
Thank you very much.NimeshawachekiKama Wallet yako iko vizuri nenda Safari Automotive Upholstery. Unafika unachagua kitambaa wanakupa makadirio ya bei unaacha gari siku 2 au 3 unafuata. Wakafanya dashbord, doors, floor na paa la gari na seats. Utachagua package tokana na fungu lako. Ila bei sio cheap. Hizo Laki 2 labda doors tu.
Tulipeleka BMW e46 wakasema Laki 8. Sijajua gari lako. Ila ukienda pale gari utakazo zikuta zinafanyiwa kazi ni hatari. Mandinga Makali yote ya Mjini.
Wapo wapi rafiki? AhsanteHawa jamaa ni level nyingine nilipeleka gari yangu walinifanyia laki 7.5. Siku nimeiuza ile gari nilitamani nitoe zile siti cover na urembo wa dashboard na kwenye milango. Gari ilikuwa nzuri sana ndani baada ya kuniwekea ma-cover yao
Mm walinambia 1.2 nikaachana nao
Nenda kwa fundi wa hapo. Chukua namba akufanyie sehemu nyingine kwa diliMm walinambia 1.2 nikaachana nao