Wakunyumba Official
Member
- Nov 10, 2015
- 40
- 10
wanajf habari za zenu, Natafuta sehemu ya kufanya internship kwa hapa mwanza kwenye private institutions/company, NGOs na mashirika kama(ppf,nssf,pspf etc.) Na kwengineko ili nipate exposure. maana kuajiriwa direct during this period it's quite difficult mpaka ujenge trust na sehemu husika. mimi ni mhitimu wa chuo mwaka huu nina degree ya Economics. Naomba kwa atakaensaidia kuni link up na sehemu hizo au utaratibu wa kupata maana hapa mwanza si mwenyeji kiivo.
Ntashukuru kwa msaada wenu.
Ntashukuru kwa msaada wenu.