sea tax mnatutesa

julaibibi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2020
Posts
3,341
Reaction score
4,573
kwanza tunasimama bila mpangilio kwenye kuweka hela kwenye kadi.maaana mwenye nguvu ndio anaweka hamna utaratibu wa folen.walizn wenu wapo ndan wanacheki azam tv. feni haziwak kama leo.
mnajua wabongo mpaka weelekezwe. kwann askar wenu wale wasiwe mmoja anakaa kuweka utartibu maana mtu anakuja mgonjwa ila mpaka apate hela kwenye kadi inakua ngumu. na feni nazo muwe mnawasha
 

Attachments

  • 20250627_104307.jpg
    180.2 KB · Views: 13
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…