Sea piano party box inauzwa

Sea piano party box inauzwa

Boloyoung

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
697
Reaction score
655
Seapiano sp 5280 partybox inauzwa

bluetooth
ssd
flash
aux
remote
mic

mziki unafaa kwa tafrija ndogo au kwa biashara nyumbani haufai una nguvu sana

bei 330,000
 
Attachments

  • IMG20250524120341.jpg
    IMG20250524120341.jpg
    454.9 KB · Views: 20
  • IMG20250524120352.jpg
    IMG20250524120352.jpg
    364.9 KB · Views: 15
  • IMG20250524120410.jpg
    IMG20250524120410.jpg
    268.4 KB · Views: 13
  • IMG20250524120424.jpg
    IMG20250524120424.jpg
    322.3 KB · Views: 16
Wewe ulinunua shilingi ngapi dukani? Risiti zake halali unazo?
sikukumbuka kudai risiti ni uzembe wangu, nilinunua 420,000 sasa kuna biashara nilitaka kufanya (pub) nimegaili ndo maana nauza
 
sikukumbuka kudai risiti ni uzembe wangu, nilinunua 420,000 sasa kuna biashara nilitaka kufanya (pub) nimegaili ndo maana nauza
Mmh hapo tu ulighaili kufungua Pub imechoka hivyo, je ungefungua Pub ungekuwa na hali gani😀
 
ndo maan
Kabisa huo music ni uwezo wa chini sana. Huna music ambao ni classic? Achana na hiyo ya kichina ya kelele
a
Kabisa huo music ni uwezo wa chini sana. Huna music ambao ni classic? Achana na hiyo ya kichina ya kelele
kwani umelazimishwa mkuu izo music classic za mamilioni zipo kazitafute! hii chinese product imejitahidi kwa kiwango chake interested wanakaribishwa.
 
ndo maan
a
kwani umelazimishwa mkuu izo music classic za mamilioni zipo kazitafute! hii chinese product imejitahidi kwa kiwango chake interested wanakaribishwa.

Nimetaka nasi utukumbuke ambao hatutaki hayo matakataka kwani hupendi kuongeza wateja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom