teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
we jamaa sio fresh ha!!! ha!!!! ha!!!Kuna kasehemu kimeandikwa "lock" na kaswichi kadogo. Hamisha hako kaswichi kutoka kwenye lock utakuwa umeifungua tayari kufanya chochote.
HIYO 1 AU 0 INAANDIKWA WAPI SASA NA ILI KUIPATA NFANYEJE?nafahamu sana jinsi ya kufungua.. hapo kuna mchezo wa 1 na 0 yaan memory au flash ikiwekwa security ya 1 inamaana imefungwa hivyo huwez kuingiza chochote wala ku'edit hapo ni kusikiliza na kuangalia tu.. mpaka ukabadilishe pale kwenye moja iwe 0 ndo inakuwa free kutumika...
NB: hizo zinafanyika kwa computer
Hii njia niliyotaja hapo juu ni ya kufanya manually. Yaani unaichomoa kadi kwenye kompyuta ndo unabadilisha hicho kiswichi.HIYO 1 AU 0 INAANDIKWA WAPI SASA NA ILI KUIPATA NFANYEJE?
Wataalamu naomba nisaidiwe nina memory card yangu yenye vitu vyangu vya muhimu sana kila nikijaribu kuvitoa au kuviedit au kufuta naletewa ujumbe huu(write protected) nifanyenyeje kui recover sd card yangu?
Mpaka hapo bado sijaelewa yaani hebu nipe maelekezo hatua kwa hatua naanza na nini kisha nini pole kwa usumbufuMkuu tumia computer mbona hii kitu inatoka ila ni manually me mwenyewe week kadhaa hv ilinikuta na nikapata ufumbuzi humuhumu jamvini nikafanikiwa kuitoa kbsa sahz natumia memory yangu bila shida, kuedit doc na kuikopia mafaili.
kwani ni lazima utumie adapter kama hiyo uliyoweka picha mie nilikuwa natumia aina nyingine ya adapter mara nyingine kwenye simuHii njia niliyotaja hapo juu ni ya kufanya manually. Yaani unaichomoa kadi kwenye kompyuta ndo unabadilisha hicho kiswichi.
Njia zipo tatu mkuu..mbili zmeishakua discussed mbona hapa hapa...njia rahis kama una adapter ya memory card basi we weka memory kweny adapter yako kisha pemben ya adapter kuna kilock unaeza kuslide....sasa wewe slide ile lock ya adapter kuelekea juu hapo utakua umetoa tatizo lako..Nina muda mrefu sana na Jamiiforums sijawahi kushuhudia jambo likashindikana humu lbd wataalamu wakupotezee tu na hili naona ndo limenitokea mimi, nimeshidwa kupatiwa ufumbuzi kwa memory card inayoleta ujumbe wa write protected pale unapojaribu kufuta kitu chochote kwenye memory hiyo, nimejaribu kuiformat lkn hakuna. Hivyo narudi tena kuomba msaada, memory yangu ninaihitaji sana.