Nahitaji memory card moja yenye capacity ya 128GB.
Naomba kufahamu wapi zinauzwa na price yake, au kama kuna mtu anaziuza nicheck.
Nilipita maduka kadhaa kariakoo sijapata ya ukubwa huo, nyingi zinaishia 32GB.