Scrub na massage havinitesi tena

Scrub na massage havinitesi tena

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,966
Nakumbuka siku ya kwanza kufanya scrub na massage ilikuwa tabu sana, mzee alikuwa akisimama bila utaratibu maalum, mwili unasisimka na hasa kama anayekufanyia ni mdada mrembo, wakati mwingine nilikuwa nashawishika hata kuomba mawasiliano au kuulizia kama kuna nafasi ya kupumulia. Namshukuru Mungu kwa sasa sipati shida na ninaona ni kitu cha kawaida kama kunyoa nywele tu au ndevu.
 
Uhanisi unakunyemelea.
 
potelea mbali, kusimamisha kwa wanawake wasionihusu sidhani kama ni shida, tamaa mbaya sana.

Nakwambia uhanisi huo unapiga hodi, mwanamke uliyemzoea huwezi ksimamisha hovyo lakini siyo kwa wale mabinti mnajifungia ndani wawili tu.
 
Huwezi kujifanyia scrub mwenyewe hadi uende kwa hao wadada JEKI
 
Last edited by a moderator:
usije kuwa kama Bhanunu bureeee ohhho
 
Last edited by a moderator:
Ni wanawake wachache wanaendaga kufanyiwa hayo mambo
 
Back
Top Bottom