F35-Bomber JF-Expert Member Joined Mar 18, 2017 Posts 1,381 Reaction score 1,119 Feb 23, 2021 #41 Nadhani swali lako litakua limerenga pale unapoenda kufanyiwa scrub aalafu unajikuta unatakiwa kufanya scrub ya mwili mzima na mwishoe kiungo cha jinsia kutumika
Nadhani swali lako litakua limerenga pale unapoenda kufanyiwa scrub aalafu unajikuta unatakiwa kufanya scrub ya mwili mzima na mwishoe kiungo cha jinsia kutumika
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,955 Reaction score 194,003 Feb 23, 2021 #42 Kama unachunusi na akazitumbua na kucha zake... Nae akawa na vidonda mikononi... uwezekano wa kupata ni mkubwa...
Kama unachunusi na akazitumbua na kucha zake... Nae akawa na vidonda mikononi... uwezekano wa kupata ni mkubwa...
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 40,005 Reaction score 51,113 Feb 23, 2021 #43 Mwanaume unajipamba namna hii ili iwe nini.