Scrub na maambukizo ya UKIMWI

Scrub na maambukizo ya UKIMWI

nicolas150

Member
Joined
Oct 16, 2016
Posts
26
Reaction score
15
Habari wana forum

Kuna mjadala hapa tunajadili "Je kufanyiwa scrub ya usoni na muathirika wa virusi vya ukimwi kunaweza kusababisha kuambukizwa virusi vya ukimwi ?"
man-using-face-scrub_625x350_41472460138.jpg
 
Inaonyesha ni ngumu kupata maambukizi unless muhudumu wa scrub awe na kidonda kibichi kwenye mkono wake na hata akiwa na kidonda bado ni ngumu kumuambukiza mtu kwasababu viganja vyake vitakuwa na mafuta ya scrub na hayo mafuta yatakuwa juu ya kidonda hivyo kuweka uzio fulani wa kidonda kushikana moja kwa moja na ngozi ya uso wa mteja.
 
Habari wana forum

Kuna mjadala hapa tunajadili "Je kufanyiwa scrub ya usoni na muathirika wa virusi vya ukimwi kunaweza kusababisha kuambukizwa virusi vya ukimwi ?" View attachment 1673192
Kama mhudumu ana kidonda kinachotoa damu na mhudumiwa naye ana kidonda kinatoa damu na damu kutoka kwa mhudumu ikagusa kidonda cha mhudumiwa hapo ndipo maambukizi yanaweza kutokea hapo kama baadhi ya factor kama muda wa damu ya mhudumu kukaa nje kabla ya kumuingia mhudumiwa, kiwango cha maambukizi cha mhudumiwa, kama mhudumu anatumia dawa za kufubaza, Kinga ya mwili ya mhudumiwa, nk hazitakuwa "considered"......kiswahili kigumu bwana!
 
Nilienda mitaa ya Sinza kunyoa saloon,mdada mrembo akanipokea na kunivika kitambaa tayari kunyolewa.Baada ya kunyolewa akaja tena kunifuta na kunishika kwa ustadi,masikio shingo na kichwani,akaniuliza nina scrub?
Haraka sana nikajibu NDIO.
Kesho naenda kupima. 1652575_IMG-20171218-WA0000.jpg
 
Nilienda mitaa ya Sinza kunyoa saloon,mdada mrembo akanipokea na kunivika kitambaa tayari kunyolewa.Baada ya kunyolewa akaja tena kunifuta na kunishika kwa ustadi,masikio shingo na kichwani,akaniuliza nina scrub?
Haraka sana nikajibu NDIO.
Kesho naenda kupima.
Hahaaaaaaa
 
Hii mpya kwa Ukimwi,kuna akina mama wame athirika na huu ugonjwa,wamebeba mimba,wezaa watoto hawana ugonjwa.

Wanawaogesha watoto wao kila siku,wakiumia wanawatibu,lkn mpaka anakua mtoto hana ugonjwa pamoja na kumwogesha na kumsugua kila siku.

Huo mjadala ni wa KIPUUZI,unapoteza mda wako na ukiendelea kushiriki basi wewe ni ......................
 
Maambukizi ya VVU yangelikuwa rahisi hivyo basi kila mtu angelikuwa amekwisha ambukizwa. Kana kwamba scrub inaleta mchubuko kati ya mtoa na mpewa huduma?!, Kwanza ngozi ya viganjani ni ngumu na stahimilivu kulinganisha na ile ya private parts. Hizo ni stories za kijiweni na hazina ukweli wowote..
 
Japo biology nikipata F lakini hata Mimi nimepata mashaka na mleta mada
Maambukizi ya VVU yangelikuwa rahisi hivyo basi kila mtu angelikuwa amekwisha ambukizwa. Kana kwamba scrub inaleta mchubuko kati ya mtoa na mpewa huduma?!, Kwanza ngozi ya viganjani ni ngumu na stahimilivu kulinganisha na ile ya private parts. Hizo ni stories za kijiweni na hazina ukweli wowote..
 
Kama mhudumu ana kidonda kinachotoa damu na mhudumiwa naye ana kidonda kinatoa damu na damu kutoka kwa mhudumu ikagusa kidonda cha mhudumiwa hapo ndipo maambukizi yanaweza kutokea hapo kama baadhi ya factor kama muda wa damu ya mhudumu kukaa nje kabla ya kumuingia mhudumiwa, kiwango cha maambukizi cha mhudumiwa, kama mhudumu anatumia dawa za kufubaza, Kinga ya mwili ya mhudumiwa, nk hazitakuwa "considered"......kiswahili kigumu bwana!
Scrub,,,,ndo agenda hapa mkuu,,mtu anapofanya mapenzi n mfano wa scrub,,,""kidonda tuciende huko saaana
 
Mungu ni mwema ingekuwa Ngoma unaipata kirahisi rahisi aisee kwa nchi zetu hizi masikini tunashare vitu kibao na watu wenye ngwengwe tungekuwa tushakwisha.

Ngoma % kubwa inapatikana katika "KUWEZANA",vuingo vya uzazi ni laini sana na easy sana kupata michubuko katika KUWEZANA.

Kuna ile pedicure na manicure ,scrubs,sharing ya mashine za kunyolea,vifaa vya kukatia kucha kwenye salon kiukweli tusingepona etc
 
Back
Top Bottom