Screenshot mkeka wako aisee, utakuja kushukuru

Candela

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2021
Posts
857
Reaction score
2,289
Guys kwa wale wazee wa kubeti Online kuna baadhi ya kampuni ni wezi.

Iko hivi, umeweka mkeka umekula hela nyingi say 50M -->, au hata 20M tu.

Wanabadilisha matokeo ya mkeka wako, wanaweza kuweka timu ambazo wewe haukuweka au ulipoweka over 1.5 wakaweka 0ver 2.5.

Niliandaa mkeka kwenye karatasi nikauweka, cha ajabu kuna timu 2 nimezikuta kwenye mkeka kwenye karatasi yangu hazipo na ndio zilizochana mkeka, zote zilizo kwenye karatasi yangu zimetiki.

Yaani naishiwa pawa guys maana nilikuwa nimezi select livescore pia nikawa nafatilia matokeo, ilipobaki mechi 1, nikaanza kuangalia showroom za Velar nitop up. Ebana bgoma dakika ya 45 goli 2 na mie niliomba 3.
Second half goli 2 tena zikafungwa zikawa 4. Kila niki login naambiwa akaunti namba sio sahihi.

Nikaomba kubadili password nakuja kuingia mkeka umekufa, wameniwekea timu 2 mamluki.
Nguvu ya kwenda GBT sina maana ushahidi hamna na ile ni online.

So kuweni makini guys kila mtu hataki kutoa hela.
 
Second half goli 2 tena zikafungwa zikawa 4. Kila niki login naambiwa akaunti namba sio sahihi. nikaomba kubadili password nakuja kuingia mkeka umekufa, wameniwekea timu 2 mamluki.
Nguvu ya kwenda GBT sina maana ushahidi hamna na ile ni online.
So kuweni makini guys kila mtu hataki kutoa hela.
Ushahidi upo. Hiyo account ikiingizwa forensic inatoa majibu yote ya nani aliingia kubadili kitu kwenye account yako.
 
Guys kwa wale wazee wa kubeti Online kuna baadhi ya kampuni ni wezi.

Iko hivi, umeweka mkeka umekula hela nyingi say 50M -->, au hata 20M tu.

Wanabadilisha matokeo ya mkeka wako, wanaweza kuweka timu ambazo wewe haukuweka au ulipoweka over 1.5 wakaweka 0ver 2.5.

Niliandaa mkeka kwenye karatasi nikauweka, cha ajabu kuna timu 2 nimezikuta kwenye mkeka kwenye karatasi yangu hazipo na ndio zilizochana mkeka, zote zilizo kwenye karatasi yangu zimetiki.

Yaani naishiwa pawa guys maana nilikuwa nimezi select livescore pia nikawa nafatilia matokeo, ilipobaki mechi 1, nikaanza kuangalia showroom za Velar nitop up. Ebana bgoma dakika ya 45 goli 2 na mie niliomba 3.
Second half goli 2 tena zikafungwa zikawa 4. Kila niki login naambiwa akaunti namba sio sahihi.

Nikaomba kubadili password nakuja kuingia mkeka umekufa, wameniwekea timu 2 mamluki.
Nguvu ya kwenda GBT sina maana ushahidi hamna na ile ni online.

So kuweni makini guys kila mtu hataki kutoa hela.
Ni kampuni gani hiyo tuihame chap
 
Ushahidi upo. Hiyo account ikiingizwa forensic inatoa majibu yote ya nani aliingia kubadili kitu kwenye account yako.
Wao ndio wanacontrol hizo zote kwa dashboard yao. Hao forensic wakipewa 5 milions una uhakika hawatageuka foreigns?
 
Changamoto ya Tanzania ni rushwa..ila kwa nje wanalazimishwa walete log in za mifumo zitaonesha Kila kitu na aliyefanya. Pia inatakiwa iwe inatoka receipts
 
Upo sahihi sana ndugu wana access ya kufanya chochote kwenye mkeka wako mie niliwahi kushinda laki 2 kasoro sasa team ya mwisho ilifunga goli la ushindi then game ikaisha na wakalipa wakat naniandaa kuiamisha ile pesa kutoka kwenye account narud nakuta hakuna kitu nacheki mkeka umekufa team hyo hyo imeua kuwa goli lilikataliwa na VAR.
Wana access ya kufanya chochote
 
Guys kwa wale wazee wa kubeti Online kuna baadhi ya kampuni ni wezi.

Iko hivi, umeweka mkeka umekula hela nyingi say 50M -->, au hata 20M tu.

Wanabadilisha matokeo ya mkeka wako, wanaweza kuweka timu ambazo wewe haukuweka au ulipoweka over 1.5 wakaweka 0ver 2.5.

Niliandaa mkeka kwenye karatasi nikauweka, cha ajabu kuna timu 2 nimezikuta kwenye mkeka kwenye karatasi yangu hazipo na ndio zilizochana mkeka, zote zilizo kwenye karatasi yangu zimetiki.

Yaani naishiwa pawa guys maana nilikuwa nimezi select livescore pia nikawa nafatilia matokeo, ilipobaki mechi 1, nikaanza kuangalia showroom za Velar nitop up. Ebana bgoma dakika ya 45 goli 2 na mie niliomba 3.
Second half goli 2 tena zikafungwa zikawa 4. Kila niki login naambiwa akaunti namba sio sahihi.

Nikaomba kubadili password nakuja kuingia mkeka umekufa, wameniwekea timu 2 mamluki.
Nguvu ya kwenda GBT sina maana ushahidi hamna na ile ni online.

So kuweni makini guys kila mtu hataki kutoa hela.
Dah betting company kutoa mil50 inawauma basi hao nao maskini tuu walipewa leseni kimagumashi
 
iliwahi nikuta hiyo, mkeka ukikuwa unaenda vizuri tu ilipobaki mechi moja nikakuta soko limebadilishwa, kampuni ilikuwa betpawa
 
Dah betting company kutoa mil50 inawauma basi hao nao maskini tuu walipewa leseni kimagumashi
Kuna jamaa alikula milioni 78 wakampa nusu nyingine wakambia watamlipa pole pole. Pia wakamuajiri. Nilishangaa sana. Mim ningewaambia kwa hela niliyokula sihitaji ajira nipeni hela yote mbele kwa mbele
 
Back
Top Bottom