Screen za Iphone Duo zimeanza kupasuka

Atukuzwaye

Senior Member
Joined
Oct 5, 2026
Posts
162
Reaction score
217
Baadhi ya watumiaji wanaripoti skrini za ndani kuharibika, huku mistari ya wima na upande mmoja wa kulia kutokana na hitilafu inayohisiwa kwenye hinge.

Apple imeanza kuwasaidia baadhi ya wateja kwa kuwabadilishia simu zilizoathirika, lakini hadi sasa haijatangaza rasmi mpango maalumu wa kubadilisha simu zote zenye tatizo hilo.

Kwa wale wenye mpango wa kununua iPhone Duo, ni vyema kusubiri Apple itoe ufafanuzi rasmi kuhusu tatizo la skrini na hatua za kulitatua kabla ya kufanya manunuzi.

Wajuzi wa mambo mniambie hapa ๐Ÿค” ๐Ÿค” hizi simu ndo bei gani vilee?๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ