E eazy900 JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 349 Reaction score 124 Aug 24, 2014 #1 Wakuu sehemu gani hapa DSM naweza tengenezewa screen ya I phone4s imepasuka, tafadhali
JJ10 JF-Expert Member Joined Jan 13, 2014 Posts 282 Reaction score 133 Aug 24, 2014 #2 Kuna wahindi koko pale Lumumba hizo ndio shughuli zao' Bosi wao anaitwa NAIM' ukiulizia Lumumba unawapata fasta maana wapo tokea kitambo sana.
Kuna wahindi koko pale Lumumba hizo ndio shughuli zao' Bosi wao anaitwa NAIM' ukiulizia Lumumba unawapata fasta maana wapo tokea kitambo sana.
E eazy900 JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 349 Reaction score 124 Aug 24, 2014 Thread starter #3 JJ10 said: Kuna wahindi koko pale Lumumba hizo ndio shughuli zao' Bosi wao anaitwa NAIM' ukiulizia Lumumba unawapata fasta maana wapo tokea kitambo sana. Click to expand... Asante sana boss nitawacheki, kama una idea ya gharama zake pia mkuu
JJ10 said: Kuna wahindi koko pale Lumumba hizo ndio shughuli zao' Bosi wao anaitwa NAIM' ukiulizia Lumumba unawapata fasta maana wapo tokea kitambo sana. Click to expand... Asante sana boss nitawacheki, kama una idea ya gharama zake pia mkuu
JJ10 JF-Expert Member Joined Jan 13, 2014 Posts 282 Reaction score 133 Aug 24, 2014 #4 eazy900 said: Asante sana boss nitawacheki, kama una idea ya gharama zake pia mkuu Click to expand... Namba ya NAIM 0784 614 111
eazy900 said: Asante sana boss nitawacheki, kama una idea ya gharama zake pia mkuu Click to expand... Namba ya NAIM 0784 614 111
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 Aug 25, 2014 #5 Brakelyn atakuja kukusaidia Last edited by a moderator: Jan 4, 2016