Screen record kupitia mobizen

Kiny

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
289
Reaction score
57
Wakuu niliinstall mobizen with no root na narecord vizuri video zinaonekana lakini nikitaka kuziplay zinanitaka option ya player kama ilivo kwa video nyingine kwenye simu yangu TECNO P5 nina VLC na ile ya simu
NAOMBA MSAADA ANAYEJUA JE ninaitaji player gani au app gani kwa ajili ya kuplay. asante.
 

Kama una file manager cheki properties ya hilo file uone format yake na wana encode VP.
 
Kama una file manager cheki properties ya hilo file uone format yake na wana encode VP.

Mkuu mbali na hiyo mi naitafuta sana hizi screen recorder nzuri kwa kurecord video ndefu simu yangu iko rooted na ina run android 4.2.2 msaada tafadhar nimezitafuta naon hazini satisfy
 
Mkuu mbali na hiyo mi naitafuta sana hizi screen recorder nzuri kwa kurecord video ndefu simu yangu iko rooted na ina run android 4.2.2 msaada tafadhar nimezitafuta naon hazini satisfy

mbona kama mobizen inarecord muda mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…