Scramble and power strugle inavyoiyumbisha NSSF..

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
16,365
12,823
Kinachowaumiza NSSF ni power struggle , kugombea madaraka. Viongozi 12 wamesimamishwa . Nafasi Zao kuna watu wanakaimu.

Hawa wanaokaimu Haswa haswa Mbette (utumishi) Tikyeba (Fedha) Mmuni (Operations) wanafanya kila njia na njama ili Chiku (utumishi) Mrosso (Fedha) na Magori (Operations) wasirudi wafukuzwe kazi ili wao wanaokaimu wachukue nafasi hizo.

Kwa Sababu hiyo walipoenda kwenye kamati za Bunge wakiulizwa Maswali wanajifanya ukweli hawaujui na njia nyepesi ni kuwalaumu kina Mrosso na wenzao ili waonekane hawafai.

Ndio maana kwenye Mkutano wa Wadau hivi karibuni Arusha Tikyeba aliwaambia Wadau viongozi wa zamani mafisadi na kwamba wao ni wageni wapewe Muda wasafishe. Kauli hiyo Kairudia kwenye kamati ya Bunge.

La ajabu ni kuwa Kama kina Mrosso mafisadi mbona CAG katoa Hati safi ya hesabu? Mbona huo ufisadi kwenye ripoti ya CAG haupo?

Tikyaba na wenziwe wajue vyeo havipatikani kwa kufitini wengine
 
Yes kuna upuuzi na fitina zinaendelea....

Kuchafuana na kuaribiana majina......

Tuendelee kusubiri but hizi ni fitina wazi wazi kwa GT anaelewa.......
 
Kinachowaumiza NSSF ni power struggle , kugombea madaraka. Viongozi 12 wamesimamishwa . Nafasi Zao kuna watu wanakaimu.

Hawa wanaokaimu Haswa haswa Mbette (utumishi) Tikyeba (Fedha) Mmuni (Operations) wanafanya kila njia na njama ili Chiku (utumishi) Mrosso (Fedha) na Magori (Operations) wasirudi wafukuzwe kazi ili wao wanaokaimu wachukue nafasi hizo.

Kwa Sababu hiyo walipoenda kwenye kamati za Bunge wakiulizwa Maswali wanajifanya ukweli hawaujui na njia nyepesi ni kuwalaumu kina Mrosso na wenzao ili waonekane hawafai.

Ndio maana kwenye Mkutano wa Wadau hivi karibuni Arusha Tikyeba aliwaambia Wadau viongozi wa zamani mafisadi na kwamba wao ni wageni wapewe Muda wasafishe. Kauli hiyo Kairudia kwenye kamati ya Bunge.

La ajabu ni kuwa Kama kina Mrosso mafisadi mbona CAG katoa Hati safi ya hesabu? Mbona huo ufisadi kwenye ripoti ya CAG haupo?

Tikyaba na wenziwe wajue vyeo havipatikani kwa kufitini wengine
wakikua wataacha.
 
Mfaidikaji mmoja wapo ni wewe, jibu kwa hoja
 
Ujumbe wako mzuri.Lakini, ni vyema ukavizia na kuwabandikia Makao Makuu ya NSSF. Hapa wengi hawataelewa lolote

Mzee Tupatupa

Mzee Tupa Tupa Nisaidie kufikisha hii meseji...mimi niko zangu Tunduru huku mjin huko ntafikaje fikaje Mzee mwenzangu
 
Power struggle ndio inaleta forced succession plan. We ulitaka hapo waliosimamishwa waendelee kula maisha mpaka lini. Watu washasomesha watoto vyuo vikuu uingerrza huko. Waache na wengine wajijenge
 
Sasa siyo kwa kuwafitin wenzako

Usimame kwenye ukweli...

Fitna haina uhai
 
Mkuu

Hapo utakua unanionea bure tuh...

Niwatee mimi siyo wakili wala si mwanasheria..naanzanje anzaje kuwatetea...

Hapa ni Jamii Forum...kila mtu yuko free kuexpress his or her views and emotions ili mradi uwe ni ukweli...

Tusimame kwenye hoja
Mkuu THE BIG SHOW, umepotea kwa muda mrefu sana. Nikuhakikishie tu kwamba una kazi kubwa sana ya kutetea wahanga wa tumbua tumbua huko NSSF. By the way pita na kwenye uzi huu ukatetee huko:-
CAG ashitukia ulaji mil.775/- kila eka NSSF
 
Hawa wanaokaimu Haswa haswa Mbette (utumishi) Tikyeba (Fedha) Mmuni (Operations) wanafanya kila njia na njama ili Chiku (utumishi) Mrosso (Fedha) na Magori (Operations) wasirudi wafukuzwe kazi ili wao wanaokaimu wachukue nafasi hizo.

La ajabu ni kuwa Kama kina Mrosso mafisadi mbona CAG katoa Hati safi ya hesabu? Mbona huo ufisadi kwenye ripoti ya CAG haupo?
Mnatuchanganya,

Kwa swali lako la pili ningekushauri usubiri ukatoe ushahidi kwa vyombo vya usalama muda wa kufanya hivyo ukifika tafadhali hebu SOMA HAPA

"Haswa haswa Mbette (utumishi) Tikyeba (Fedha) Mmuni (Operations)"

Nani amekuhakikishia kuwa nafasi hizo lazima zijazwe na hao uliowataja wewe in red and bold above
 
Back
Top Bottom